Setup checkout

Lipia Assisted Setup Ya MesejiMasta.

Hii ni kwa biashara inayohitaji msaada wa kuanza: workflow setup, WhatsApp readiness, dry-run testing, na onboarding guidance.

Setup uliyochagua

Assisted setup

TZS 99,000

Inafaa kwa

Inafaa kwa biashara ambayo tayari ipo na inataka msaada wa kuanza kutumia MesejiMasta kwa usahihi.

Badili setup →

Hii si monthly subscription

Hii ni one-time setup/deployment fee. Monthly plan ya platform bado inachaguliwa tofauti kulingana na matumizi ya biashara yako.

Kinachofuata baada ya payment

1

Setup payment inatengenezwa

2

Unaenda kwenye secure checkout

3

Payment inathibitishwa

4

Timu ina-review business readiness

5

Onboarding inaanza

Ukibonyeza kuendelea, mfumo utatengeneza setup payment record na kukupeleka kwenye checkout salama.