Free Trial
- Dakika 15 za audio
- Reports 3 za audio
- Max dakika 5 kwa file β’ 25MB standard upload
Nzuri kwa kujaribu Masta Voice kabla ya kuingia kwenye paid workflow.
- Speech To Text
- Transcript
- Summary
- AI Report
- Copy, download, WhatsApp share
Masta Voice AI
Pakia audio/video, import media links, translate transcripts, tengeneza reports, na geuza maandishi kuwa sauti ya kitaalamu β yote ndani ya Masta Voice AI workspace moja.
Vipengele vya workspace
Kila kitu unachohitaji kupakia, ku-transcribe, kusummarize, kutengeneza sauti, na kusimamia kazi za audio kwa kiwango kikubwa.
Pakia voice notes, calls, meetings, interviews, na field recordings. Akaunti za paid hutumia direct-storage upload kwa faili kubwa kulingana na package limit.
Pata transcripts safi, executive summaries, decision signals, TXT downloads, copy actions, na WhatsApp-ready sharing.
Geuza maandishi kuwa audio ya Kiswahili au English kwa matangazo, mafunzo, ujumbe kwa wateja, na content ya biashara.
Import public media links na geuza content kuwa transcripts, summaries, na reports.
Fuatilia files, reports, TTS jobs, usage, profile, na billing ndani ya workspace moja.
Kwa teams zinazohitaji uploads kubwa, priority processing, support, na scalable workflow.
Bei
Packages hizi zimepangwa kwa minutes, reports, na upload limits ili ziwe rahisi kwa wateja wa kimataifa. Bei hapa chini imeonyeshwa kwa USD kwa international card checkout. Kodi zinaweza kuongezwa kulingana na eneo lako.
Nzuri kwa kujaribu Masta Voice kabla ya kuingia kwenye paid workflow.
Nzuri kwa mtu mmoja, creators, assistants, na matumizi mepesi ya wiki.
Nzuri kwa biashara zenye calls, meetings, interviews, na operations audio kila siku.
Bora kwa agencies, sales teams, trainers, field teams, content teams, na matumizi makubwa ya biashara.
Bora kwa recordings kubwa, teams, agencies, field operations, training sessions, call archives, na scalable workflows.
Bei za global zimeonyeshwa kwa USD. Anza na Starter, panua kupitia Growth na Pro Voice, kisha nenda Masta Voice Pro Maxx kwa workflows kubwa.
Secure checkout
Chagua package, thibitisha taarifa za biashara, kisha kamilisha malipo kwa secure checkout. Baada ya malipo kufanikiwa, Masta Voice workspace yako ita-activate automatically.
Pro Voice imechaguliwa kama default kwa matumizi ya serious teams. Unaweza kuchagua package nyingine kwenye checkout form kabla ya kulipia.
Zana za Masta Voice