Wasiliana nasi

Ongea Na MesejiMasta Support.

Pata msaada kuhusu onboarding, activation ya subscription, WhatsApp readiness, merchant setup, Dodo checkout, au demo ya bidhaa.

WhatsApp support

Njia ya haraka kwa maswali ya setup, kuchagua package, kuomba demo, na kufuatilia onboarding. Ujumbe wa kwanza utafungua sales/support flow ya MesejiMasta.

Kwa urahisi, tumia button kuanza mazungumzo moja kwa moja WhatsApp.

Email support

Inafaa kwa invoices, account details, payment confirmation, maombi rasmi, na maelezo marefu ya technical setup.

Support email

support@mesejimasta.com

Email option

Copy email hii na utume kutoka app ya email unayopendelea:support@mesejimasta.com

“Tumia mail app” inategemea kifaa kuwa na default email app. “Fungua Gmail” ni option rahisi zaidi kwenye browser.

Sales & packages

Chagua package sahihi, elewa setup fees, na anza merchant onboarding.

Billing activation

Tuma payment confirmation au checkout details ili activation ifuatiliwe kwa usahihi.

WhatsApp readiness

Pata msaada kuunganisha Meta, WABA ID, Phone Number ID, access token, na real-send readiness.

Maswali ya haraka

Majibu ya haraka kabla ya kuwasiliana nasi.

Naweza kutumia Meta details zangu?

Ndiyo. Kama una Meta Business, WABA ID, Phone Number ID, na access token details, unaweza kutumia self-managed setup path.

Naweza kuanza bila kuunganisha Meta mara moja?

Ndiyo. MesejiMasta inaweza kuanza safe mode/dry-run. Real WhatsApp sending inawashwa baada ya readiness checks kupita.

Setup fee ni tofauti na monthly subscription?

Ndiyo. Monthly subscription ni kwa matumizi ya platform. Setup fee ni kwa WhatsApp Cloud API / Meta onboarding na verification work.

Niandike nini kwenye email?

Andika business name, WhatsApp number, package unayotaka, payment reference kama ipo, na aina ya msaada unaohitaji.