Rekodi mauzo haraka
Cashier anaweza kuchagua bidhaa, kuweka quantity, kuongeza kwenye cart, na kuhifadhi sale kwa haraka.
MesejiMasta POS humsaidia cashier kurekodi mauzo haraka, stock kupungua automatically, na owner kuona reports za mauzo na bidhaa kwa urahisi.
Namba ya demo WhatsApp: +255758149999
Weka POS kwenye home screen ili cashier asiingie website kila muda.
Jinsi demo inavyofanya kazi
Andika DEMO WhatsApp
Pokea username na password
Rudi kwenye ukurasa huu
Ingia kwenye POS demo
Jaribu kuuza bidhaa na kuona stock ikipungua
Cashier anaweza kuchagua bidhaa, kuweka quantity, kuongeza kwenye cart, na kuhifadhi sale kwa haraka.
Sale ikihifadhiwa, stock ya bidhaa husika inapungua bila kuandika hesabu pembeni.
Unaweza kuuza bidhaa nyingi kwenye sale moja, kama POS ya kisasa.
Owner anaona mauzo, bidhaa zinazouza, cashier performance, na stock reports.
Baada ya demo
Ukipenda mfumo, andika SETUP WhatsApp. Utachagua plan, utaendelea na checkout, kisha account yako itaandaliwa kwa matumizi halisi.
Ingiza username na password ulizopokea WhatsApp, kisha fungua Quick Sale.
WhatsApp Demo Access
Enter the username and password sent by the WhatsApp demo bot.
Saved on this device after first entry.
Enter staff PIN
Uko tayari kujaribu?
Andika DEMO, pokea credentials, kisha rudi hapa kuingia POS.